Subscribe:

Pages

Tuesday, July 20, 2010

MWENYEKITI YANGA LLOYD NCHUNGA ASEMA RADIO NA TV KUANZISHWA YANGA

Mwenyekiti mpya yanga  LLOYD NCHUNGA akiwa ofisini kwake kabla ya kuanza mazungumzo na waandishi
mazungumzo na waandishi yalianza
Mwenyekiti huyo baada ya kumaliza kazi zake za ofisini anasoma vitabu

Mwenyekiti mpya wa klabu ya YANGA LLOYD NCHUNGA amesema suala la kuanzisha radio na tv katika klabu ya YANGA lipo palepale mara baada ya kukabidhiwa ofisi na viongozi waliomaliza muda wao.

Akizungumza ofisini kwake NCHUNGA amesema mambo mengi ambayo yatafanyika katika klabu hiyo ili yanga iweze kuwa na faida nayo.

Amesema uwanja utakarabatiwa  kwa kushirikiana na mfadhali YUSUPH MANJI ili uweze kutumiwa kwa mazoezi na si kwa ligi kuu tanzania bara.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU