Subscribe:

Pages

Friday, August 27, 2010

TASWA KUMTUNUKIA TUZO RAIS KIKWETE

mwenyekiti wa TASWA JUMA PINTO kushoto kwake ni katibu mkuu AMIR MHANDO wakizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za TFF.

Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA kimeamua kumtunukia tuzo rais JAKAYA MRISHO KIKWETE kutokana na kusaidia maendeleo ya michezo mbalimbali hapa nchini

Pinto amesema taswa wameona mchango wa Rais KIKWETE katika michezo kwa kuleta makocha mbalimbali.

Amesema tuzo hiyo itatolewa siku yoyote kuanzia sasa mara baada ya kupata majibu kutoka ofisi za IKULU kumpelekea tuzo hiyo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU