vijana wakishindana kufunga magoli
watoto wakishindana kucheza muziki
mama huyu makazi wa urafiki ubungo amejipatia mpira wa kikapu baada kushiriki katika tamasha la vijana la mpira wa kikapu katika maeneo ya urafiki jijini mama huyu alipata mpira huo baada kushindana na vijana kufunga magoli katika goli la mpira wa kikapu






0 maoni:
Post a Comment