Thursday, March 24, 2011

BENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU FEDHA ZA KIGENI KWA WATEJA WAKE

 Mtaalamu wa masuala ya kibenki kutoka Benki ya ABSA Afrika Kusini
Dk Mabouba Diagne (kushoto) akizungumza na baadhi ya washiriki wa
semina kuhusu ufahamu katika masuala ya fedha za kigeni iliyoandaliwa
na benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni
Mkurugenzi wa Fedha wa AZAM, Ali Asgar Mukadam, Joyce Matemu wa
Kampuni ya Bia TBL na Alnoor Velani kutoka kampuni ya Acer Ptroleum.
                 Mtaalamu wa masuala ya kibenki kutoka Benki ya ABSA Afrika Kusini,
Dk Mabouba Diagne (kushoto) akizungumza na baadhi ya washiriki (hawapo
pichani) wa semina kuhusu ufahamu katika masuala ya fedha za kigeni
iliyoandaliwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya washiriki wa semina kuhusu ufahamu katika masuala ya
fedha za kigeni iliyoandaliwa na benki ya NBC jijini Dar es Salaam
jana wakifuatilia moja ya mada wakati wa semina hiyo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU