Friday, March 25, 2011

TAIFA STARS USO KWA USO NA AFRIKA YA KATI UWANJA WA TAIFA HAPO KESHO

                                                   Afrika ya kati katika mazoezi mazito


                                                     Mazoezi ya mwisho



                                                 Wakiomba baada ya kumaliza mechi
Timu ya TAIFA kesho inashuka katika uwanja wa Taifa Jijini DSM kucheza na timu ya AFRIKA YA KATI katika mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya AFRIKA hapo mwakani.

TAIFA STARS inatakiwa kushinda mchezo huo ili kujiweka safi katika msimamo wa kundi lakena kwa upande wa timu ya AFRIKA ya KATI timu hiyo imeendelea na mazoezi katika uwanja wa TAIFA kabla ya kufanyika kwa mchezo huo uwanja wa TAIFA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU