Thursday, June 2, 2011

Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia),
akishikana mikono ya Mkuu wa Mawasiliano wa Benki ya Barclays Tanzania
Kati Kerenge  wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Hali za Kibenki
kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Chama cha wenye Mabenki Tanzania na ambaye pia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru,
akihutubia wakati akizindua rasmi ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka
2011 jijini Dar es Salaam
Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Robi
Matiko-Simba, Mkuu wa Masoko wa benki hiyo, Mwinda Kiula-Mfugale
(katikati) na Mkuu wa Masoko wa benki ya Stanbic, Abdallah Singano
(kulia) wakibadilishana mawazo katika hafla ya uzinduzi rasmi wa
Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam
Mshauri wa Masoko wa Benki ya NBC, Arden Kitomari (kushoto)
akisalimiana na Mkuu wa Masoko wa Benki ya Stanbic, Abdallah Singano
katika hafla ya uzinduzi rasmi wa  Ripoti ya Hali za Kibenki kwa Mwaka
2011 jijini Dar es Salaam jana. Mgeno rasmi katika uzinduzi huo
alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wenye Mabenki Tanzania (TBA) na
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Tanzania Mortage Refinance,
Rished Bade akishikana mikono na  Mwenyekiti wa Chama cha wenye
Mabenki Tanzania na ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC
Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia baada ya hafla ya uzinduzi wa Ripoti
ya Hali za Kibenki kwa Mwaka 2011 jijini Dar es Salaam jana. Katikati
ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Alex Ngusaru

1 maoni:

Anonymous said...

Ηey theгe! I've been reading your blog for a long time now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from Kingwood Texas! Just wanted to mention keep up the fantastic work!

My web page :: Payday Loans online
Also see my webpage: Payday Loans Online

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU