Saturday, April 28, 2012

WAZEE WA YANGA WACHUKUA TIMU

Kikosi cha yanga
Uongozi wa Yanga kupitia kwa mwenyekiti wao Nchunga wameikabidhi timu kwa wazee wa baraza wa Club ya Yanga kwa muda mpaka hapo mambo yatakapo kua shwari.

Moja wa wazee wa Yanga Akilimali amesema,wameipokea timu kwa moyo wote na watahakikisha wanashinda mechi zilizobaki na kombe la kagame.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU