Wednesday, March 13, 2013

TBC YAIFUMUA NEW HABARI NA KUIONDOSHA KATIKA MASHINDANO

 Kikosi cha timu ya TBC wakati kinakaguliwa
 Nahodha wa timu ya TBC Mbozi Katala akiwa na waamuzi wa mchezo kabla ya mechi kuanza
 Mchezo ukiendelea
 Wachezaji wa New Habari wakipewa mawaidha na mmoja wa wachezaji wa Netboll wakati wa mapumziko
 Kikosi cha New Habari
Kocha wa Timu ya TBC Malyo Cheto Njedengwa akiwapa mawaidha wakati wa mapumziko na timu ya TBC ikaondoka na ubingwa wa mabao 4-2 katika michuano ya NSSF ya vyombo vya habari ambayo inaendelea jijini Dar es salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU