Tuesday, April 30, 2013

MABONDIA WATUNISHIANA MISULI KUZIDUNDA LEO MEI MOSI PTA SABA SABA

Bondia Amosi Mwamakula kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya apima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akionesha mzani waliopimia mabondia Thomasi Mashali kushoto na Fransic Cheka kulia katikati ni Promota wa mpambano huo Adamu Tanaka picha na mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Bondia Amosi Mwamakula kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya apima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Mabondia Yusuph Jibaba kushoto akitunishiana misuli na Shabani Mhamila 'Star Boy' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa mei mosi utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa afya katikati ni mpinzani wake Amosi Mwamakula picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akipimwa Afya leo kwa ajili ya mpambano wake
Bondia Amos Mwamakula akipimwa Afya
Baadhi ya mabondia watakaopambana kesho wakiwa katika picha ya poz wa pili kushoto ni Thomas Mashali,,Shabani Mhamila 'Star Boy' Ibrahimu Class' King class Mawe' wengine ni wapambe wao katika mchezo huo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU