Thursday, June 13, 2013

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO KUFANYA MATAMASHA MIKOANI

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kili Music Tour 2013 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kala Jeramiah na Nasssib Abdul 'Diamond'. 
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond' akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya wasanii kwenye mikoa 8, ambapo jumla ya wasanii 24 watashiriki. 
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeramiah akizungumzia ziara ya wasanii.
 Chazi Baba akitoa vionjo vya moja ya nyimbo zake. 
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiteta jambo na, Diamond na Chaz Baba wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu Kili Music Tour 2013.
Profesa J akiwashukuru wale wote waliompigia kura pamoja na kuwasihi wasanii tutokata tamaa na kujipanga vizuri katika tuzo za mwakani ili waje kung'ara. 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU