Friday, July 15, 2011

BARNABA,LINA,MWASITI,DITTO na AMIN HAO MAREKANI KUKUTANA NA MSANII WA RB USHER


                    Wasanii wa kundi la THT ambao tayari wametoka kimuziki wakiwa ofisini kwao wakiangana na waandishi wa habari wakati wa safari yao ya kwenda marekani kufanya ziara ambayo itawakutanisha na msanii USHER kushoto BARNABA,LINA,DITTO,MWASITI na AMINI pamoja na na mpiga kinanda
                 Kushoto BARNABA,LINA.DITTO ,MWASITI ,AMIN na mpiga kinanda wa kundi la THT
                                        Wasanii wa THT wakiwa mazoezi kambini kwao.

Wasanii watano kutoka kituo cha kukuza vipaji vya wasanii THT wameondoka nchini kwenda MAREKANI katika mkutano wa vijana wanaochipukia katika muziki ,wasanii hao ambao katika ziara yao wamepata nafasi ya kwenda kukutana na msanii maarufu wa RB USHER RAYMOND na wasanii hao wanatarajia kujifunza vitu vingi katika sanaa ya muziki

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU