Mnenguaji
Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake
mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati
bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es
salaam
Mmoja wa mashabiki wa fani ya unenguaji kulia akimpingia makofi baada ya kumtunza Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' ambaye anaonekana akifanya vibwanga vyake wakati wa maonesho ya bendi ya Mashauzi Classic katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma
jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi
Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika
ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
Isha Ramadhani kushoto akiwa na mnenguaji maarufu Mwajuma Thabiti ' Mwajuma Jimama'
Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma
jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi
Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika
ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam
USIKOSE KUANGALIA TBC 1 KILA SIKU NA KUSIKILIZA RADIO ZA TBC IKIWEMO TBC TAIFA,TBC FM NA TBC INTERNATIONAL KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI SIKILIZA TBC TAIFA SAA MOJA NA NUSU KILA SIKU
0 maoni:
Post a Comment