Monday, September 5, 2011

WAZIRI MKUU KATIKA MATUKIO TOFAUTI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachungaji weusi  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri  kutoka New York Marekani waliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 3, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Askofu Mokiwa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 3, 2011  akielekea  Korogwe   ambako Septemba 4, 2011  atakuwa mgeni rasmi kwenye  ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule Maimbo Mdolwa wa Dai Mkuu)yosisi ya Tanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mke wa Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanga, Frida Mdolwa katika sherehe za Kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi hiyo, Maimbo WIlliam Mndolwa (katikati)  zilizofanyika kwenye viwanja vya  Chuo cha Ualimu cha Korogwe, Septemba  4, 2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Valentino Mkokiwa  (kulia) katika Ibada  ya kumweka wakfu Askofu  Maimbo William Mdolwa  (kushoto) wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya  Tanga iliyofanyia kweye viwanja vya Chuo cha Ualimui cha Korogwe,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Valentino Mkokiwa  (katikati) katika Ibada  ya kumweka wakfu Askofu  Maimbo William Mdolwa  (kulia) wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya  Tanga iliyofanyia kweye viwanja vya Chuo cha Ualimui cha Korogwe, Septemba 4, 2011.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU