Friday, October 7, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya bidhaa mbalimbali za kilimo  za Tanzania na jarida, Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa mazao ya kilimo cha Embrapa kilichopo, Brasilia, Bw. Francisco Basilio wakati alipotembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil October 6,2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU