Thursday, October 6, 2011

ZIARA YA WAZIRI MKUU BRAZIL

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kulia) October 5, 2011 kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu picha ya wafugaji wa kabila la Wamasai aliyomzawadia   Waziri wa Madini na Nishati wa Brazil, Mhe. Eddison Lobao (kushoto) October 5, 2011 baada ya mazungumzo yao kwenye Ofisi za wizara hiyo zilizoko Brasilia. Yuko katika ziara ya kikazi nchini humo.  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Waziri wa  Kilimo na Mifugo  (MInister for Agriculture, Livestock and Supply , Mhe. Jorge Alberto Portanova wakati alipowasili kwenye ofisi za Wizara hiyo zilizoko Brasilia kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil, October 5, 2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU