Monday, January 30, 2012

JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA ADDIS ABABA.
Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa  January 29,2012 Jengo hilo, ambalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU