Monday, January 30, 2012

KCB TANZANIA YAZISAIDIA HOSPITALI ZA BUGURUNI NA CCBRT VIFAA TIBA


Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania DK Edmund Mndolwa akizngumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda vya wajawazito kwa hospitali ya Buguruni vya Zaidi ya shilingi milioni Nane jijini Dar es Salaam
 
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa (kushoto) akimkabidhi moja ya kitanda cha kujifungulia wajawazito, Daktari Mfawidhi wa  hospitali ya Buguruni, Hawa  Lesso  wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya hospitali  hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine katikati ni Mkurugenzi wa KCB, Moezz Mir  na Mwenyekiti wa Hospitali hiyo Fatma Faki


 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, Edmund Mndolwa akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 13 Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla  kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwingine ni  Mkurugenzi Mtendaji wa wa KCB, Moezz
Mkurugenzi wa Mtendaji KCB Tanzania, Moezz Mir akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Milioni 13 Mkurugenzi Msaidizi wa hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla  kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU