Sunday, January 29, 2012

JK MKUTANONI ADDIS ABABA

  Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
 
 Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataiaf Mh Bernrd Member na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar  (Fedha na Uchumi) Dr Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU