Sunday, March 17, 2013

HAMZA SAID (ZOLA, CHILUBA) AFARIKI DUNIA

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=13d7801c2bd9c51d&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_hee3ao4k0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1363523549501&sads=n2OIk0f6VyYWWbogjK_7aZ4_jT0&sadssc=1 
Uongozi wa klabu ya Yanga unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi Hamza Said almaarufu kama Zola au Chiluba, kifo kilichotokea leo alfajiri kwa ajali ya kugongwa na gari katika makutano ya mitaa ya Rufiji/Congo.
Marehemu Zola alikua mfanyakazi katika Sekretatriet wa klabu ya Yanga mpaka unamkuta umauti alfajiri ya leo.

Taratibu za mazishi zinapangwa kwa kushirikiana na ndugu wa marehemu. Taarifa zaidi zitatolewa badae

Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU