Thursday, March 7, 2013

HANS POPE AACHIA NGAZI SIMBA

Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba Hans Pope ameachia madaraka katika klabu hiyo kwa madai kuwa ameamua kufanya mambo mengine.

Alipoulizwa sababu ya kuachia ngazi Pope amesema anataka kufanya mambo mengine na si ya soka.

Kuhusu wanachana analipi la kuwaambia amesema hana la kuwaambia zaidi wajue kuwa ameachia ngazi katika klabu ya Simba.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU