Thursday, March 14, 2013

RICHARD COMMEY KUPIGANIA UBINGWA WA DUNIA WA VIJANA UZITO MWEPESI

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/u/0/?ui=2&ik=c5efcfe0c1&view=att&th=13d681c8ae9da698&attid=0.1&disp=inline&realattid=f_he2ragpw0&safe=1&zw&saduie=AG9B_P-2CrkZwFZoIv7yIISqZzQc&sadet=1363269611224&sads=pKhvaa1ywXf3ydzCV5ZP33LD3RY&sadssc=1 
Baada ya usindi mkubwa alipupata kwa kumchakaza Mgaha mwenzake Bilal Muhammed, Richard Commey sasa atagombea ubingwa wa dunia wa vijana uzito mwepesi.
Mpambano wao na Bila ambao ulifanyika siku ya Ijuamaa, Machi 8 katika ukumbi wa Will Gym Angineers katika viunga vya hamestown jijini Accra, Ghana ulikuwa na hamasa za aina zote kutikana na uoinzani wa wawili hao.
Richard bondia kijana mwenye bashasha na mnyenyekevu ametokea kupendwa na mashabiki wengi wa ngumi katika bara la Afrika. Akiwa ulingoni huchanganya mikono yake yote miwili kama mashine na hi inawapa hoifu sana wapinzanai wake!
Commey atakutana na mpinzania atakayetajwa baadaye kwa ubingwa wa dunia kwa vijana unaotarajia kufanyika katika mwezi wa Juni mwaka huu jijini Accra, Ghana!

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU