Thursday, March 14, 2013

TBC YAENDELEZA UBABE KWENYE NETIBOLI YATINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUIFUMUA FREE MEDIA

Mchezaji wa TBC Naima akifunga goli.
 Wachezaji wa TBC na Free Media katika arakati za kugombea mpira kwenye goli la TBC.
 Mchezo ukiendelea uwanjani hapo.
Mchezaji wa TBC akiwani kufunga bao katika goli la Free Media
 wachezaji wakiwa kazini.
 Wakati wa mapumziko.
 Kushoto ni nahodha wa TBC Grace Kingalame akiwa na Nahodha wa Free Media Khadija Kalili.
Na hawa waandika matokeo kushoto Free Media na Kulia TBC wakati wa mchezo huo Tbc ikaibuka na ushindi wa mabao 19-16 ushindi mwembamba ambao haukutegemewa na mashabiki wa Netiboli katika mashindano ya Vyombo vya habari NSSF yakiendelea jijini Dar es salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU