Wednesday, March 6, 2013

WAZIRI MKUU WA DENMARK APOKEWA KWA NDEREMO IKULU, DAR ES SALAAM

 Mamia ya wananchi wakijiandaa kumlaki Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt kupitia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika maongezi ya faragha na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt leo Ikulu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Sanga na maofisa wengine waandamizi wakati akimsibiri mgeni wake
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt baadhi ya mawaziri
 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na Waziri wa kazi na  Ushirika wa Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman
 Msafara wa Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt ukikaribia lango la Mashariki la Ikulu Dar es salaam leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt wakiingia Ikulu huku wakishangiliwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt na ujumbe wake wakati wa mazungumzo rasmi
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtembeza  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt akisalimiana na maafisa waandamizi wa Ikulu katika viunga vya Ikulu kabla ya mgeni huyo kupanda mti wa kumbukumbu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimueleza  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe Helle Thorning-Shmidt aina ya mti ataoupanda leo Ikulu

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU