Sunday, June 16, 2013

TAIFA STARS YAFA KIUME

 Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akiondoka na mpya huku mabeki wa timu ya Ivory Cost wakimfuata kwa kasi ya ajabu bila ya mafanikio.Mpira umekwisha muda mfupi uliopita na na Matokeo ni Taifa Stars 2-4 Ivory Cost.

 Kiungo machachari wa Taifa Stars,Mwinyi Kazimoto akiwachachafya mabeki wa Timu ya Taifa ya Ivory Cost,wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stats imefunga bao 4-2.
 Amri Kiemba wa Taifa Stars kiondoka na mpira.
 Golikipa wa Timu ya Ivory Cost,Barry Boubacar akidaka mpira ukiokuwa umepigwa na Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu.

Kiungo wa Kimataifa kutoa Ivory Cost,Yaya Toure akijaribu kutaka kumtoka Beki wa Taifa Stars,Frank Domayo wakati wa Mchezo huo uliopigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Imepigwaaaa moojaaaaa paleeeeee Gooooooooo...... Daaahhhh,inakenda nje.

KWA PICHA ZAIDI ZA MATUKIO MBALI MBALI YA MECHI HII 

BOFYA HAPA

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU