Wednesday, July 10, 2013

NYUMBA ZA AIRTEL ZINAZOSHINDANIWA HIZI HAPA
       Kodi ya Nyumba kwaheriii, tumia AIRTEL YATOSHA ujishindie yako Kelele za wapangaji tupa kuleee, Airtel Yatosha ndo habari ya Tanzania Zimebaki siku 20 tu mwenye nyumba ya kwanza ya YATOSHA hadharani Huu ndo mjumba wa kifahari utakaoshinda kupitia droo ya mwisho wamwezi Hii ni sehemu ya mbele ya Nyumba mojawapo ya AIRTEL YATOSHA
Nyumba hizi zimejengwa kwa mpangilio maalum  na wataalam  kutokashirika makini la nyumba Tanzania (National Housing Corporation) Mahali iliko ni Kigamboni Kibada wilaya ya Temeke General View ukiwamaeneo ya nyumba iliko Vitu vizuri unavyoweza kuviona .

ukiwa nyumbanikwako endapo utaibuka mshindi ni pamoja na Uwanja wa Taifa, uwanja wa
ndege na utaweza kujione vizuri vikwangua anga vya jijini dar essalaam kama vile PPF Tower, Uhuru height, Jubilee Tower, Serena Hoteln.k Jiunge na kifurishi cha Airtel Yatosha SIKU, WIKI au MWEZI kwakupiga *149*99# na chagua kifurushi kitakachokufaa ili uwe mmoja wawashindi watakaofaidika na nyumba hizi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU