| Msanii
wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika
ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi
uliofanyika katika ukumbi huo jana |
MABONDIA WAKIONESHABA UBABE WAKATI WA MPAMBANO ULIOFANYIKA KLUVYA MADUKANI KATIKA UKUMBI WA SHIMBIKATI
| Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake |
| Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake kama anavyo onekana katika picha |
| SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA |
| MNENGUAJI WA KUNDI LA KANGA MOJA AKICHEZA KWA STAIL YA KIPEKEE BAADA YA KUAMUA KUCHEZA NA CHUPA |
| KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO |
| MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA |
| KAZI YA KANGA MOJA IKIENDELEA KULINDIMA KATIKA UKUMBI WA SHIMBI KATI KABLA MPAMBANO WA MASUMBWI |
| KIKAZI ZAIDI KANGA MOJA |
MPAMBANO WA MASUMBWI UKIENDELEA





0 maoni:
Post a Comment