Mshauri wa Mawasliano wa Benki ya NBC, Robi Matiko-Simba (kulia)
akikabidhi cheti kwa Mary Masanje, mmoja wa wanawake aliyeingia katika
tatu bora katika tuzo ya Wanawake Wajasiriamali iliyodhaminiwa na NBC
wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanawake walioonyesha mafanikio
katika mwaka 2010 (Tanzania Women of Achievements Award) iliyofanyika
jijini Dar es Salaam juzi usiku. Kushoto ni mwanamke mwingine
aliyengia pia katika tatu bora, Flotea Massawe. Zainab Ansell (hayupo
pichani) alishinda.

0 maoni:
Post a Comment