Thursday, April 21, 2011

Meneja Mkuu wa kampuni ya United Petroleum, Colins Chemngorem (kulia)
akishikana mikono na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Ali Mohamed Shein wakati wa halfa ya kuichangia timu ya soka
ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ mjini humo hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraz ala Mapinduzi, Dk Ali Mohamed
Shein akikabidhi jezi ya tibu ya soka ya nchi hiyo kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Bakhresa, Abubakar Bakhresa aliyoinunua kwa shs
milioni 1 wakati wa hafla ya kuichangia Zanzibar Heroes mjini humo
hivin karibuni.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU