Tuesday, June 21, 2011
WASHA YA UTAFITI JINSI YA UKUSANYAJI TAARIFA
Bibi Maryrose ROp mwakilishi wa WSP kutoka benki ya dunia kanda ya afrika akiwaelekeza baadhi ya washiriki katika washa jinsi ya ukusanyaji wa tarifa ya utafiti watumiaji wa maji umeme ktika mikoa ya dar es salaam tanga mbeya tabora sumbawanga washa hiyo imeaandaliwa na bank ya dunia pamoja na baraza la ushauri la watumiaji wa huduma zinazo dhibitiwa na EWURA imefanyika 20june2011 dar es salaam





0 maoni:
Post a Comment