Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa watoto wanaolelea katika Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Ima Kamota katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa bwalo la kulia chakula na jiko hafla iliyofanyika Mvomero, Morogoro jana. Msaada huo umegharimu jumla ya shs milioni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanga Cement, Erik Westerberg (kushoto) akishikana mikono na Mwanzilishi wa Kituo cha Kuwahudumia Walemavu cha Amani, Mama Josephine Bakita katika hafla ambyo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa jingo la bwalo la kuliachakula pamoja na jiko, hafla iliyofanyika Mvomero, Morogoro jana. Msaada huo umegharimu jumla ya shs milioni 57.





0 maoni:
Post a Comment