Saturday, November 19, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Katiba na Sheria, Celiina Kombani(kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Abubakar Khamis Bakari (katikati) wakifurahia baada ya Bunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa 2011 kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 18,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU