Sunday, December 4, 2011

MAKAMU WA RAIS ATOA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA MAREHEMU DAVID WAKATI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa TBC, David Wakati, alipofika nyumbani kwa marehemu huyo  Oysterbay jijini Dar es Salaam jana Desemba 2, kwa ajili ya kutoa mkono wa pole. Marehemu Wakati alifariki juzi jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na ndugu wa marehemu David Wakati, Francis Wakati, , Josephine Wakati (katikati) na Elizabeth Wakati, baada ya kumaliza kutia saini katika kitabu cha maombolezo, alipofika kutoa mkono wa pole kwa nyumbani kwa familia ya marehemu, Oysterbay jijini Dar es Salaam jana Desemba 2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa TBC, David Wakati, alipofika nyumbani kwa marehemu huyo  Oysterbay jijini Dar es Salaam jana Desemba 2, kwa ajili ya kutoa mkono wa pole. Marehemu Wakati alifariki juzi jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU