Friday, January 27, 2012

AZRA VUYO JACK MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU NA ANAENDELEA KUKULIA MAHABUSU WAZAZI WAKE WATUHUMIWA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Mtoto azra vuyo jack akiwa amelala 

Azra akiwa amepakatwa na baba yake vuyo jack nje ya mahabusu ya mahakama kuu mbeya

. Baba na mama azra wakiwa na mtoto wao wakisubiri kuingia mahakamani jana asubuhi

Msamaria mwema emily mwaituka ndiye aliyejitolea kumhudumia mtoto azra huko mahabusu kwa kumpelekea maziwa kila siku

Hili ndilo gari la wazazi wa azra na ambalo lilibeba madawa hayo

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU