Thursday, April 28, 2011

HAPPY BIRTHDAY MWASUUUUU

Aliyekaa chini ni MWASU SWARE akifurahia siku yake ya kuzaliwa na wafanyakzi wenzake katika chumba cha habari cha TBC, mwenye suti nyeusi ni JANE JOHN na mwenye  suti ya kuendea kanisani ni LEAH MUSHI. Namshukuru Mungu sana kwa kunipa uhai na afya tele ambayo imenifanya leo nisherehekee kutimiza miaka yangu kadhaa, nawashukuru pia wazazi wangu na mwisho ni Mume wangu na watoto wangu wapendwa!!

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU