Wednesday, May 18, 2011

JENGO LA QUALITY GROUP KUFUNGULIWA MWEZI WA SITA MWAKA HUU KWA AJILI YA BIASHARA

 Msaidizi wa YUSUPH MANJI kushoto MWINGO akiwa amemshikia mic mkurugenzi wa Quality Group akiongea na waandishi wa habari juu ya ufunguzi wa jengo hilo jipya la biashara
          Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa makini kumsikiliza mkurugenzi wa Quality Group akiongea

                                 Hapa wandishi pamoja na viongozi wa Quality Group wakitembea ndani ya jengo hilo ambalo linatalajia kufunguliwa mapema mwezi wa sita likiwa na biashara tofauti
Msaidizi wa Mwingo kushoto SINTA pamoja namwingo mwenyewe katikati na mkurugenzi wa quality Group Bali wakitembea kuwaonyesha waandishi sehemu mbalimbali za jengo hilo
 Sehemu ya lift wakionyeshwa waandishi wakati wa kutembelea jengo hilo jipya
                          Waandishi wakiwa katika lift katika jengo jipya la quality group

Mkurugenzi wa Quality Group RAJIV BALI akiwaonyesha waandishi sehemu mbalimbali la biashara za jengo hilo ambalo linatalajia kufunguliwa mapema mwezi juni

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU