Tuesday, May 31, 2011

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Evans Balama akipokea mfano wa hundi ya sh milioni tano kutoka kwa Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC,Bi.Robi Mtiko-Simba ikiwa ni sehemu ya mchango wa benki hiyo kwa ajili yambio za Mwenge wa Uhuru. Makabidhiano yalifanyika Mbeya hivi
                              
Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Robi Matiko-Simba (wa pilikushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni tano kwa Mkuu waWilaya ya Mbeya, Bw. Evans Balama ikiwa ni sehemu ya mchango wa benki hiyo kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru katika makabidhianoyaliyofanyika Mbeya hivi karibuni. Wengine pichani kushoto ni Menejawa NBC Kanda ya Nyanda za Juu, Bw. Ramadhani Lesso, Meneja wa benki hiyoTawi la Mbeya, Bw. Salema Kileo (wa pili kulia) na Bw. Lazaro Mwankenja, mmoja wa waratibu wa mbio hizo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU