Shirikisho la soka nchini TFF limesema litalipa faini ya klabu ya YANGA inayodaiwa na CECAFA baada ya kushindwa kutokea uwanjani wakati wa mchezo kati ya SIMBA na YANGA wakati wa michuano ya KAGAME ambayo ilifanyika Jijini DSM katika uwanja wa TAIFA .
OSIAH amesema fedhaa hizo milioni thelathini zitakatwa kwenye fedha za ubingwa wa ligi kuu TANZANIA BARA ambapo YANGA ndiyo mabingwa wa ligi hiyo baada ya kuongoza kwa magoli dhidi ya watani wao SIMBA.
Timu ya YANGA itashiriki mashindano hayo ya CECAFA hapa nchini iwapo itakamilisha malipo ya faini milioni thelathini.
0 maoni:
Post a Comment