Thursday, October 13, 2011
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MAKAO YA WATOTO YATIMA, MSONGOLA
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kituo cha kulelea watoto Yatima na  waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel  Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2011  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Kituo cha kulelea  watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola wilaya  ya Ilala, baadha ya kuzinduliwa kwa kituo hicho leo Oktoba 13  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy  Mwalimu,  wakikagua baadhi ya vyumba vya Kituo cha kulelea  watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, baada ya kuzinduliwa kwa  kituo hicho kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo Oktoba  13Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifunua kitambaa kuzindua jiwe la msingi la Kituo cha kulelea watoto  Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s  Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Hafla hiyo ya  uzinduzi wa kituo hicho ulifanyika leoMakamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha  kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola  Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13.  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu,  akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha  kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola  Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13.



 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 


1 maoni:
Uongozi bora uleta maendeleo katika jamii, na inasaidia watoto hao kujiepusha na mambo mbalimbali ambayo wangeweza kuyapata mtaani, kwa kulelewa katika kituo na kuwa na maadili mema!
Post a Comment