Friday, October 7, 2011

MBWANA MATUMLA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC MIYAYUSHO


Mabondia Mbwana Matumla (kushoto) na Mussa Sunga wakipigana wakati wa mazoezi ya kambi ya ILala Dar es salaam jana kulia ni kocha Mohamedi Chipota, Matumla anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa na Fransic Miyayusho litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU