Sunday, October 9, 2011

MKUU WA MAJESHI JWTZ


Mkuu wa majeshi jenerali Devis Mwamunyange apokea kikombe cha ushindi pamoja na ngao kutoka kwa Meja jeneraliNicholas Miti ambaye aliongoza msafara wa jeshi la tanzania nnchini msumbiji katika kusheherekea miaka 25 ya kuwa kumbuka mashuja walio pigania uhuru wa msumbiji sherehe hizo ziliambatana na michezo hivyo timu ya miguu JWTZ ilishinda nakuzawadiwa kikombe  kulia ni mnadhimu wa michezo jeshini luteni kanali Richard Mwandika hafla fupi ya kukabidhi kikombe ilfanyika katika makao makuu ya jeshi picha chris mfinanga

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU