Thursday, October 13, 2011
WORLD FOOD PRIZE, IOWA USA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  ufunguzi wa kongamano la  kimataifa la The  World  Food Prize International Symposium kwenye  ukumbi wa Hoteli ya Marriott Mjini  Des Moines,Marekani Oktoba  12,2011.Wengine pichani kutoka kushoto ni Rais wa  Theworld Food Prize  Foundation, Balozi  Kenneth Quinn,Rais wa Zmani wa Nigeria, Generali   Olusegun Obasanjo, Rais wa zamani wa Ghana, John Kufuor na Rais wa  zamani wa Msumbiji, Joaquim ChissanoWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  ufunguzi wa  kongamano la kimataifa la The  World  Food Prize International Symposium  kwenye ukumbi wa Hoteli ya Marriott Mjini  Des Moines,Marekani Oktoba  12,2011.Wengine pichani kutoka kushoto  ni Rais wa  Zmani wa Nigeria, Generali  Olusegun Obasanjo, Rais wa zamani wa Ghana,  John Kufuor na Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim ChissanoWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  ufunguzi wa  kongamano la kimataifa la The  World  Food Prize International Symposium  kwenye ukumbi wa Hoteli ya Marriott Mjini  Des Moines,Marekani Oktoba  12,2011.Wengine pichani kutoka kushoto  ni Rais wa  Zmani wa Nigeria, Generali  Olusegun Obasanjo, Rais wa zamani wa Ghana,  John Kufuor na Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano


 
 
 
 
 
 
 


0 maoni:
Post a Comment