Sunday, January 29, 2012

MKUTANO WA MUUNGANO NA SENSA

Makamu wa Rais Dkt, Mohammed Gharib Bilal, Waziri mkuu, Mizengo Pinda na makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakitoka kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza  jijini Dar es salaam Januari 28, 2012 kuhudhuria kakao cha kujadili Muungano  
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kujadili maandalizi ya sensa kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 28, 2012.  Wanne kulia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU