Sunday, February 19, 2012

TWIGA CEMENT YAWAPONGEZA WASAMBAZAJI SARUJI WAO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Lesoinne Pascal ( wa pili
kulia) akimpongeza Valence Masaky baada ya kampuni yao ya V.G.K Ltd kuibuka washindi wa tatu wa Wazambazaji Bora wa saruji ya Twiga Cement wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Twiga Cement kwa ajili ya wasambazaji hao jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Twiga Cement, Ekwabi Majigo na wa pili kushoto ni mke wa Msaky, Getrude Masaky. Walipewa zawadi ya mifuko 400 ya saruj
 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Twiga Cement, Ekwabi
Majigo (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Lesoinne Pascal (kulia) wakiwapongeza washindi wa jumla wa Wazambaji Bora wa saruji ya kiwanda hicho, Carol Mworia (wa pili kushoto) wa kampuni ya Kaizari General Supplies wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Twiga Cement kwa ajili ya wasambazaji hao jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afya Mwambungu wa General
Traders. Walipewa zawadi ya mifuko 600 ya saruji.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Twiga Cement, Lesoinne Pascal
(kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa nne wa Wazambaji Bora wa saruji ya kiwanda hicho, Hassan Luono wa Ujenzi Store  wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Twiga Cement kwa ajili ya wasambazaji hao jijini Dar es Salaam jana. Kushoto Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Twiga Cement, Ekwabi Majigo. Alipewa zawadi ya mifuko 300 ya saruji.
Ofisa Mauzo wa TPCC,  Gloria Stephen Mabada (kushoto) akiagana na baadhi ya wasambazi saruji baada ya hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Twiga Cement kwa ajili ya wasambazaji hao jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wasambazaji wa saruji wa kampuni ya Twiga Cement
wakiselebuka pamoja na baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo katika hafla
ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Twiga Cement kwa ajili ya
wasambazaji hao jijini Dar es Salaam jana

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU