Jumla ya warembo arobaini kati ya sitini wa Miss
Utalii Tanzania kutoka mikoa yote ya Tanzania.tayali wameripoti kambini
leo,kuanza kambi Taifa ya siku 21
kuanzia leo. Kambi hiyo mwaka huu iko katika Hoteli ya Ikondelelo Lodge
iliyoko Kibamba Dar es Salaam.
Warembo walio ripoti kambini hadi sasa ni kutoka mikoa
ya Arusha (Rose Godwin), Dar es Salaam 1 (Sophia Yusuph),Dar es Salaam 2(Ivon
Stephen),Dar es Salaam 3 (Irine Thomas),Dodoma (Erica Ekibariki), Geita (Hamisa
Jabiri), Iringa (Debora Jacob), Kagera 1(Elline Bwire),
Kagera2 (Jania Abdul), Kagera 3(Mulky Uda), Kilimanjaro (Anna Pogaly), Lindi (Joan John),
Mtwara (Halima Hamis),Mara (Dorine Bukoni), Manyara (Mary C. Lita), Mbeya (Diana
Joachim), Mwanza (Jesca Peter), Morogoro (Hadija Said),Tanga (Sarafina Jackson),
Tanga (Leah Makange), Tabora (Magreth Malalle), Njombe (Pauline Mgeni), Rukwa (Anganile
Rogers), Katavi (Asha Ramadhani ), Simiyu (Flora Msangi), Shinyanga (Lightness
Kituwa), Ruvuma (Furaha Kinyunyu), Kigoma 1(Zena Ally), Kigoma 2(Rosemary
Emmanuel), Pwani (Beatrice Iddy), Singida (Neema Julius), Singida (Christina
Daud),Vyuo Vikuu (Irine Richard), Vyuo Vikuu (Hawa Nyange)
Warembo wote wakiwa kambini,watapewa mafunzo na semina mbalimbali kuhusiana na Utalii, Utamaduni, Uwekezaji, Afya ya Jamii, Elimu ya Jamii, Wanyama Pori, Mazingira, Madini,Ulinzi Shirikishi n.k, chini ya jopo la wakufunzi la mashindano haya
Wakiongozwa na mkufunzi mkuu (Chief Choreographer) Erasato Gideon, pamoja na Mkufunzi Mkuu wa Ngoma za Asili Mariam A. Kweji toka Kaole Sanaa Group,Mkufunzi wa Miziki na Dansi la Asuku Che Mundugwao,wakufunzi wa minato na miondoko ya Urembo na Mitindo Caroline Y. Mrosso na Evamary Gamba
1 maoni:
It's going to be finish of mine day, except before end I am reading this impressive paragraph to increase my knowledge.
Feel free to visit my web-site ; know memes
Post a Comment