Sunday, March 17, 2013

GRANDMALT YATIKISA KONGAMANO LA KIBIASHARA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI

 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati akizungumza na baadhi wa wanavyuo toka nchi tatu za afrika ya mashariki kwenye kongamano la kujadili mambo ya kibiashara liliandaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwashirikisha vyuo toka kenya, uganda na Tanzania, hapa akiwapa faida za kunywa kinywaji cha Grandmalt katika kujenga afya ya mwili na utimamu wa mwili.
Consolata Adam akiwapatia kinywaji hicho wanavyuo kabla ya kuingia katika awamu ya pili ya majadiliano

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU