Sunday, March 17, 2013

MALINDI ILIVYOICHAPA MUNDU MABAO 2-1.

 Mchezaji wa timu ya Malindi, Haji wa Haji (kushoto) akituliza mpira kifuani mbele ya Patrik James wa Mundu.
 Mshambuliaji wa timu ya Mundu, Ulrasa Juma akimtoka mlinzi wa Malindi, Nadir Rashid (kushoto).
 Abdalla said wa Malindi (kushoto) na Thabit Khamis wa mundu wakiwania mpira.
 Wachezaji wa Malindi, Abdala Said (no.5) na amour Suleiman (katikati) wakipambana na Thabit Khamis wa Mundu.
 Himid Mkasa wa Mundu akimiliki mpira huku akisindikizwa na  mpinzani wake wa Malindi Haji wa Haji.
 Himid Mkasa wa Mundu akimtoka Haji wa Haji wa Malindi (kulia).

Timu ya Malindi ya Zanzibar huku ikiwa pungufu kutokana na mchezaji wa ke mmoja kulimwa kadi nyekundu mapema dakika za mwanzo wa mchezo, jana iliibuka mshindi kwa kuinyuka Mundu mabao 2-1
ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Mao Tse Tung mjini Zanzibar.


0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU