Monday, March 18, 2013

TWIGA CEMENT YAZINDUA MRADI WA KOKOTO ZA KUJENGEA.

 Minister of State in Prime Minister’s Office (Invesstment and Empowerment), Dr Mary Nagu (2nd-L) hands over Tanzania Investment Centre incentives certificate for Twiga Cement Aggregates Project to
Germany State Secretary for Foreign Affairs Prof Harald Braun at a brief ceremony in Dar es Salaam over the weekend. Others from left are TIC Executive Director Raymond Mbilinyi, TPCC Managing Director,
Pascal Lesoinne, State Secretary Federal Ministry of Economics and Technology in Germany, Anne Ruth Herkes and Germany Ambassador to Tanzania, Klaus Peter Brandes.
 Waziri katika Ofizi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (katikati) akiwa na  Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne (kulia),wakiwasili katika hafla ambayo Waziri Nagu alikabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati wa uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Rasilimaliwatu wa Twiga Cement, Jayne Nyimbo na Kaimu  Mkurugenzi
Mtendaji wa TIC, Raymond Mbilinyi.
 Waziri katika Ofizi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk  Mary Nagu (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne, alipokwenda   kukabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi.
Baadhi ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU