Sunday, March 10, 2013

PAMBANO LA LIGI KUU YA GRAND MALT YA ZANZIBAR KATI YA FALCON NA MAFUNZO KWENYE UWANJA WA MAO MJINI ZANZIBAR JANA.

 Sudi Abdalla wa Falcon (kulia) akichuana na Aly Othman wa Mafunzo kwenye uwanja wa Mao mjini Zanzibar, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana.
 Salum Said wa Falcon (kulia) akichuana na Said Mussa wa Mafunzo, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Mao.
Kipa wa Falcon, Halid Haji akipangua penalt ya Mafunzo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU