Saturday, March 16, 2013

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE MAALUMU TOKA KWA RAIS WA BOTSWANA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na  Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU