Friday, August 30, 2013
FREDY ANTHONY APATA MASTERS YA BIASHARA HUKO MALAYSIA
  Fredy Anthony ambaye ni Head of Group 
Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya
 ukumbi wa Dewan Tun Canselor   Mara baada kupata shahada yake ya pili 
 (Master of Business administration - Multimedia Marketing)   katika 
Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.






0 maoni:
Post a Comment